🔐 Kama ulianza kama Mteja, utaendelea kuingia kwa namba yako ya simu + PIN.
Email hapa ni email ya mawasiliano ya biashara, si lazima ibadilishe njia yako ya kuingia.
Jaza taarifa za biashara au huduma yako. Baada ya hapo utaweza kutumia huduma za Biashara kama Bulk SMS na kuomba Sender Name.