πŸ“ Tanga, Tanzaniaγ€€β˜Ž +255 716 387 777γ€€βœ‰ info@saizulmarket.co.tz
← Rudi Nyumbani

Kuhusu Sisi

SAIZUL MARKET ni jukwaa la matangazo linalolenga kuunganisha wanunuzi, wauzaji, wafanyabiashara na watoa huduma katika Tanga na Tanzania kwa ujumla. Kupitia jukwaa hili, mteja anaweza kutafuta au kutangaza nyumba na vyumba vya kupanga, viwanja, magari, pikipiki, simu na vifaa vya ICT, hoteli na nyumba za kulala wageni pamoja na huduma mbalimbali.

SAIZUL MARKET ni sehemu ya maono mapana ya SAIZUL ya kutumia teknolojia kurahisisha biashara, mawasiliano na upatikanaji wa huduma. Lengo letu ni kujenga sehemu moja iliyo rahisi kutumia ambapo biashara na wateja wanaweza kukutana kwa urahisi.

🎯 Dhamira YetuKuunganisha wateja, wauzaji na watoa huduma kwa njia rahisi na ya kisasa.
πŸ‘οΈ Maono YetuKukuza SAIZUL MARKET kuwa jukwaa linalotambulika Tanga na Tanzania kwa ujumla.
🀝 TunachothaminiUaminifu, urahisi, ubunifu na huduma bora kwa watumiaji wetu.