Kwa biashara inayokua

Fungua fursa mpya kwa duka lako.

Chagua kifurushi kinacholingana na idadi ya bidhaa zako. Unapata link ya duka, QR Code na njia rahisi ya kupokea maombi ya wateja kupitia WhatsApp.

✓ Link yako ya duka✓ QR Code✓ WhatsApp
01 / Kifurushi

Chagua kinachokufaa

Anza kidogo, panua duka lako kadiri biashara inavyokua.

Vifurushi 5 vya kuchagua
03 / Malipo

Kamilisha usajili wako

Utapokea ombi la kuthibitisha malipo kwenye simu yako.

Malipo yanafanyika kwa njia ya simu kupitia DaliPay. Usajili unaanzishwa baada ya malipo kuthibitishwa.

Chagua kifurushi na muda wa usajili.